1 Nyakati 6

mwana wa Yahathi, mwana wa Gershoni, mwana wa Lawi.

1 Chronicles 6:43 (UKJV) The son of Jahath, the son of Gershom, the son of Levi.

41mwana wa Ethni, mwana wa Zera, mwana wa Adaya,

42mwana wa Ethani, mwana wa Zima, mwana wa Shimei,

43mwana wa Yahathi, mwana wa Gershoni, mwana wa Lawi.

44Na kutoka kwa walioshirikiana nao, Wamerari, mkono wake wa kushoto: Ethani mwana wa Kishi, mwana wa Abdi, mwana wa Maluki,

45mwana wa Hashabia, mwana wa Amazia, mwana wa Hilkia,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.