2Wana wa Kohathi walikuwa: Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli.
3Amramu alikuwa na wana: Aroni, Mose, na Miriamu. Aroni alikuwa na wana: Nadabu, Abihu, Eleazari na Ithamari.
4Eleazari akamzaa Finehasi, Finehasi akamzaa Abishua,
5Abishua akamzaa Buki, Buki akamzaa Uzi,
6Uzi akamzaa Zerahia, Zerahia akamzaa Merayothi,