1 Nyakati 9

Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli. Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali.

1 Chronicles 9:39 (UKJV) And Ner brings forth Kish; and Kish brings forth Saul; and Saul brings forth Jonathan, and Malchishua, and Abinadab, and Eshbaal.

37Gedori, Ahio, Zekaria na Miklothi.

38Miklothi akamzaa Shimeamu. Wao pia waliishi karibu na jamaa zao huko Yerusalemu.

39Neri akamzaa Kishi, Kishi akamzaa Sauli. Sauli akamzaa Yonathani, Malki-Shua, Abinadabu na Esh-Baali.

40Yonathani akamzaa Merib-Baali, naye Merib-Baali akamzaa Mika.

41Wana wa Mika walikuwa: Pithoni, Meleki, Tarea, na Ahazi.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.