1Kwa maana twajua kama hema yetu ya dunia tunayoishi ikiharibiwa, tunalo jengo kutoka kwa Mungu, nyumba iliyo ya milele kule mbinguni, isiyojengwa kwa mikono ya wanadamu.
2Katika hema hii twalia kwa uchungu, tukitamani kuvikwa makao yetu ya mbinguni,
3kwa kuwa tukiisha kuvikwa hatutaonekana tena kuwa uchi.