2 Wakorintho 5

Katika hema hii twalia kwa uchungu, tukitamani kuvikwa makao yetu ya mbinguni,

2 Corinthians 5:2 (UKJV) For in this we groan, earnestly desiring to be clothed upon with our house which is from heaven:

1Kwa maana twajua kama hema yetu ya dunia tunayoishi ikiharibiwa, tunalo jengo kutoka kwa Mungu, nyumba iliyo ya milele kule mbinguni, isiyojengwa kwa mikono ya wanadamu.

2Katika hema hii twalia kwa uchungu, tukitamani kuvikwa makao yetu ya mbinguni,

3kwa kuwa tukiisha kuvikwa hatutaonekana tena kuwa uchi.

4Kwa kuwa tukiwa bado katika hema hii twalia kwa uchungu na kulemewa, kwa sababu hatutaki kuvuliwa bali kuvikwa makao yetu ya mbinguni ili kwamba kile kipatikanacho na mauti kimezwe na uzima.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.