11Alipanda juu ya kerubi akaruka, akapaa juu kwa mbawa za upepo.
12Alifanya giza hema lake la kujifunika: mawingu meusi ya mvua ya angani.
13Kutokana na mwanga wa uwepo wake mawingu yalisogea, ikanyesha mvua ya mawe na umeme wa radi.
14Bwana alinguruma kutoka mbinguni, sauti ya Aliye Juu Sana ilisikika.
15Aliipiga mishale na kutawanya adui, umeme wa radi na kuwafukuza.