45nao wageni huja wakininyenyekea, mara wanisikiapo, hunitii.
46Wote wanalegea, wanatoka katika ngome zao wakitetemeka.
47“Bwana yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu! Atukuzwe Mungu, Mwamba, Mwokozi wangu!
48Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi, ayawekaye mataifa chini yangu,
49aniwekaye huru toka kwa adui zangu. Uliniinua juu ya adui zangu; uliniokoa toka kwa watu wajeuri.