35Hezro, Mkarmeli; Paarai, Mwarbi;
36Igali mwana wa Nathani kutoka Soba; Bani, Mgadi;
37Seleki, Mwamoni; Naharai, Mbeerothi, aliyekuwa mbeba silaha za Yoabu mwana wa Seruya;
38Ira, Mwithiri; Garebu, Mwithiri;
39na Uria, Mhiti. Jumla yao wote walikuwa watu thelathini na saba.