Kumbukumbu 5

Bwana alisema nanyi uso kwa uso kutoka moto juu ya mlima.

Deuteronomy 5:4 (UKJV) The LORD talked with you face to face in the mount out of the midst of the fire,

2Bwana Mungu wetu alifanya Agano nasi katika mlima wa Horebu.

3Si kwamba Bwana alifanya Agano na baba zetu, bali alifanya nasi, nasi sote ambao tuko hai hapa leo.

4Bwana alisema nanyi uso kwa uso kutoka moto juu ya mlima.

5(Wakati huo nilisimama kati ya Bwana na ninyi kuwatangazia neno la Bwana, kwa sababu mliogopa ule moto, nanyi hamkupanda mlimani.) Naye Mungu alisema:

6“Mimi ndimi Bwana Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.