Kutoka 22

Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao.

Exodus 22:23 (UKJV) If you afflict them in any way, and they cry at all unto me, I will surely hear their cry;

21“Usimtendee mgeni vibaya au kumwonea, kwa kuwa nanyi mlikuwa wageni huko Misri.

22“Usimdhulumu mjane wala yatima.

23Kama ukifanya hivyo nao wakinililia, hakika nitasikia kilio chao.

24Hasira yangu itawaka, nami nitawaua kwa upanga, wake zenu watakuwa wajane na watoto wenu watakuwa yatima.

25“Kama ukimkopesha mmojawapo wa watu wangu fedha ambaye ni mhitaji, usiwe kama mtu mkopesha fedha; usimtoze riba.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.