Kutoka 40

weka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, na uweke maji ndani yake.

Exodus 40:7 (UKJV) And you shall set the vessel that holds water between the tent of the congregation and the altar, and shall put water therein.

5Weka madhabahu ya dhahabu ya kufukizia uvumba mbele ya Sanduku la Ushuhuda kisha uweke pazia kwenye lango la Maskani ya Mungu.

6“Weka madhabahu ya sadaka za kuteketezwa mbele ya lango la Maskani ya Mungu, yaani Hema la Kukutania;

7weka sinia kati ya Hema la Kukutania na madhabahu, na uweke maji ndani yake.

8Fanyiza ua kuzunguka maskani na uweke pazia penye ingilio la ua.

9“Chukua mafuta ya upako, ipake Maskani ya Mungu pamoja na kila kitu kilichomo ndani yake; iweke wakfu pamoja na vitu vyote vilivyomo ndani mwake, nayo itakuwa takatifu.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.