40Maknadebai, Shashai, Sharai,
41Azareli, Shelemia, Shemaria,
42Shalumu, Amaria na Yosefu.
43Kutoka wazao wa Nebo: Yeieli, Matithia, Zabadi, Zebina, Yadai, Yoeli na Benaya.
44Hawa wote walikuwa wameoa wanawake wa kigeni, na baadhi yao walikuwa wamezaa nao watoto.