63Mtawala aliagiza kuwa wasile chochote miongoni mwa vyakula vitakatifu hadi kuwe kuhani atakayehudumu kwa Urimu na Thumimu.
64Jumla ya watu wote waliorudi walikuwa 42,360;
65tena zaidi ya hao walikuwepo watumishi wa kiume na wa kike 7,337; pia walikuwamo waimbaji wanaume na wanawake 200.
66Walikuwa na farasi 736, nyumbu 245,
67ngamia 435 na punda 6,720.