Isaya 32

Hata kama mvua ya mawe iangushe msitu na mji ubomolewe kabisa,

Isaiah 32:19 (UKJV) When it shall hail, coming down on the forest; and the city shall be low in a low place.

17Matunda ya haki yatakuwa amani, matokeo ya haki yatakuwa utulivu na matumaini milele.

18Watu wangu wataishi katika makao ya mahali pa amani, katika nyumba zilizo salama, katika mahali pa kupumzika pasipo na usumbufu.

19Hata kama mvua ya mawe iangushe msitu na mji ubomolewe kabisa,

20tazama jinsi utakavyobarikiwa, ukipanda mbegu yako katika kila kijito, na kuwaacha ngʼombe wako na punda wajilishe kwa uhuru.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.