Ayubu 11

Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu.

Job 11:12 (UKJV) For vain men would be wise, though man be born like a wild ass's colt.

10“Kama akija na kukufunga gerezani, na kuitisha mahakama, ni nani awezaye kumpinga?

11Hakika anawatambua watu wadanganyifu; naye aonapo uovu, je, haangalii?

12Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu.

13“Hata sasa ukiutoa moyo wako kwake na kumwinulia mikono yako,

14ukiiondolea mbali ile dhambi iliyo mkononi mwako wala usiuruhusu uovu ukae hemani mwako,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.