22Hufunua mambo ya ndani ya gizani, na kuyaleta nuruni yale yaliyositirika sana.
23Huyafanya mataifa yatukuke na kuyaangamiza; hufanya mataifa kuwa makubwa, naye huyatawanya.
24Huwaondolea viongozi wa nchi akili zao; huwapeleka watangetange nyikani pasipo na njia.
25Hupapasa gizani pasipokuwa na mwanga; huwafanya wapepesuke kama walevi.