Ayubu 15

kwa sababu amemkunjia Mungu ngumi yake na kujigamba dhidi ya Mwenyezi,

Job 15:25 (UKJV) For he stretches out his hand against God, and strengthens himself against the Almighty.

23Hutangatanga, akitafuta chakula; anajua kwamba siku ya giza iko karibu.

24Taabu na maumivu makuu vinamtia hofu; humshinda kama mfalme aliye tayari kwa vita,

25kwa sababu amemkunjia Mungu ngumi yake na kujigamba dhidi ya Mwenyezi,

26kwa kiburi akishambulia dhidi ya Mungu akiwa na ngao nene, iliyo imara.

27“Ingawa uso wake umefunikwa na mafuta kwa unene na kiuno chake kimevimba kwa kunenepa,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.