Ayubu 15

Asijidanganye mwenyewe kutumainia ubatili, kwa kuwa hatapata malipo yoyote.

Job 15:31 (UKJV) Let not him that is deceived trust in vanity: for vanity shall be his recompence.

29Hatatajirika tena, nao utajiri wake hautadumu, wala mali zake hazitakuwa nyingi juu ya nchi.

30Hatatoka gizani; mwali wa moto utanyausha machipukizi yake, nayo pumzi ya kinywa cha Mungu itamwondolea mbali.

31Asijidanganye mwenyewe kutumainia ubatili, kwa kuwa hatapata malipo yoyote.

32Atakuwa amelipwa kikamilifu kabla ya wakati wake, nayo matawi yake hayatastawi.

33Atafanana na mzabibu uliopukutishwa matunda yake kabla hayajaiva, kama mzeituni unaodondosha maua yake.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.