16Uso wangu umekuwa mwekundu kwa kulia, macho yangu yamepigwa na giza kuu.
17Hata hivyo mikono yangu haijafanya jeuri, na maombi yangu ni safi.
18“Ee nchi, usiifunike damu yangu, nacho kilio changu kisinyamazishwe kamwe.
19Hata sasa shahidi wangu yuko mbinguni; wakili wangu yuko juu.
20Mwombezi wangu ni rafiki yangu macho yangu yamwagapo machozi kwa Mungu;