Ayubu 18

Hana mtoto wala mzao miongoni mwa watu wake, wala aliyenusurika mahali alipoishi.

Job 18:19 (UKJV) He shall neither have son nor nephew among his people, nor any remaining in his dwellings.

17Kumbukumbu lake litatoweka katika dunia, wala hatakuwa na jina katika nchi.

18Ameondolewa nuruni na kusukumiwa gizani, naye amefukuzwa mbali atoke duniani.

19Hana mtoto wala mzao miongoni mwa watu wake, wala aliyenusurika mahali alipoishi.

20Watu wa magharibi watashangaa yaliyompata; watu wa mashariki watapatwa na hofu.

21Hakika ndivyo yalivyo makao ya mtu mwovu; ndivyo palivyo mahali pake mtu asiyemjua Mungu.”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.