Ayubu 23

Nyayo zangu zimefuata hatua zake kwa karibu; nimeishika njia yake bila kukengeuka.

Job 23:11 (UKJV) My foot has held his steps, his way have I kept, and not declined.

9Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni; akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo.

10Lakini anaijua njia niiendeayo; akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu.

11Nyayo zangu zimefuata hatua zake kwa karibu; nimeishika njia yake bila kukengeuka.

12Sijaziacha amri zilizotoka midomoni mwake; nimeyathamini maneno ya kinywa chake kuliko chakula changu cha kila siku.

13“Lakini yeye husimama peke yake; ni nani awezaye kumpinga? Yeye hufanya lolote atakalo.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.