21Imefichika machoni pa kila kitu kilicho hai, imesitiriwa hata kwa ndege wa angani.
22Uharibifu na Mauti husema, ‘Ni uvumi wake tu uliotufikia masikioni mwetu.’
23Mungu anaifahamu njia ya kuiendea hekima na ndiye peke yake anayefahamu inakokaa,
24kwa maana yeye huitazama miisho ya dunia na huona kila kitu chini ya mbingu.
25Alipofanyiza nguvu za upepo na kuyapima maji,