25Alipofanyiza nguvu za upepo na kuyapima maji,
26alipofanya maagizo kwa ajili ya mvua na njia kwa ajili ya umeme wa radi,
27ndipo alipoitazama hekima na kuikadiria thamani yake, akaithibitisha na kuihakikisha.
28Naye Mungu akamwambia mwanadamu, ‘Kumcha Bwana: hiyo ndiyo hekima, nako kujitenga na uovu ndio ufahamu.’ ”