Ayubu 3

ambao hujawa na furaha, na hushangilia wafikapo kaburini?

Job 3:22 (UKJV) Which rejoice exceedingly, and are glad, when they can find the grave?

20“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni, na hao wenye uchungu kupewa uhai,

21wale wanaotamani kifo ambacho hakiji, wale watafutao kufa zaidi ya kutafuta hazina iliyofichwa,

22ambao hujawa na furaha, na hushangilia wafikapo kaburini?

23Kwa nini uhai hupewa mtu ambaye njia yake imefichika, ambaye Mungu amemzungushia boma?

24Kwa maana kulia kwangu kwa uchungu kwanijia badala ya chakula; kusononeka kwangu kunamwagika kama maji.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.