22ambao hujawa na furaha, na hushangilia wafikapo kaburini?
23Kwa nini uhai hupewa mtu ambaye njia yake imefichika, ambaye Mungu amemzungushia boma?
24Kwa maana kulia kwangu kwa uchungu kwanijia badala ya chakula; kusononeka kwangu kunamwagika kama maji.
25Lile nililokuwa naliogopa limenijia; lile nililokuwa ninalihofia limenipata.
26Sina amani, wala utulivu; sina pumziko, bali taabu tu.”