Ayubu 31

Hakika ningeyavaa begani mwangu, ningeyavaa kama taji.

Job 31:36 (UKJV) Surely I would take it upon my shoulder, and bind it as a crown to me.

34kwa sababu ya kuogopa umati wa watu, na hivyo kuwa na hofu ya kudharauliwa na jamaa, nikanyamaza kimya nisitoke nje ya mlango:

35(“Laiti kama angekuwepo mtu wa kunisikia! Tazama sasa ninatia sahihi kwenye utetezi wangu: Mwenyezi na anijibu; mshtaki wangu na aweke mashtaka yake kwenye maandishi.

36Hakika ningeyavaa begani mwangu, ningeyavaa kama taji.

37Ningempa hesabu ya kila hatua yangu, ningemwendea kama mwana wa mfalme.)

38“Kama nchi yangu inalia dhidi yangu, na mifereji yake yote imelowana kwa machozi,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.