27kwa sababu wameacha kumfuata Mungu, nao hawakuiheshimu njia yake hata moja.
28Wamesababisha kilio cha maskini kifike mbele zake, hivyo akasikia kilio cha wahitaji.
29Lakini kama akinyamaza kimya, ni nani awezaye kumhukumu? Kama akiuficha uso wake, ni nani awezaye kumwona? Ikiwa ni taifa au mtu mmoja, kwake ni sawa,
30ili kumzuia mtu mwovu kutawala, au wale ambao huwategea watu mitego.
31“Kama mwanadamu akimwambia Mungu, ‘Nimekosa lakini sitatenda dhambi tena.