30Tazama jinsi anavyotandaza umeme wa radi kumzunguka, naye huvifunika vilindi vya bahari.
31Hivi ndivyo atawalavyo mataifa, na kuwapa chakula kwa wingi.
32Huujaza mkono wake kwa umeme wa radi, na kuuagiza kulenga shabaha yake.
33Ngurumo zake hutangaza dhoruba inayokuja; hata mifugo hujulisha kukaribia kwake.