18Je, wewe unafahamu ukubwa wa dunia? Niambie kama unajua haya yote.
19“Njia ya kufika kwenye makao ya nuru ni ipi? Nako maskani mwa giza ni wapi?
20Je, unaweza kuvirudisha kwenye makao yake? Unajua njia za kufika maskani mwake?
21Hakika unajua, kwa kuwa ulikuwa umeshazaliwa! Kwani umeishi miaka mingi!
22“Je, umeshawahi kuingia katika ghala za theluji, au kuona ghala za mvua ya mawe,