Ayubu 5

Utajua ya kwamba hema lako li salama; utahesabu mali zako wala hutakuta chochote kilichopungua.

Job 5:24 (UKJV) And you shall know that your tabernacle shall be in peace; and you shall visit your habitation, and shall not sin.

22Utayacheka maangamizo na njaa, wala hutakuwa na sababu ya kuwaogopa wanyama wakali wa mwituni.

23Kwa kuwa utakuwa na agano na mawe ya mashamba, nao wanyama wa mwitu watakuwa na amani nawe.

24Utajua ya kwamba hema lako li salama; utahesabu mali zako wala hutakuta chochote kilichopungua.

25Utajua ya kuwa watoto wako watakuwa wengi, nao wazao wako wengi kama majani ya nchi.

26Utaingia kaburini ukiwa na umri wa uzee mtimilifu, kama masuke ya ngano yakusanywapo kwa wakati wake.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.