Ayubu 5

“Tumelichunguza hili, nalo ni kweli. Hivyo lisikie na ulitendee kazi.”

Job 5:27 (UKJV) Lo this, we have searched it, so it is; hear it, and know you it for your good.

25Utajua ya kuwa watoto wako watakuwa wengi, nao wazao wako wengi kama majani ya nchi.

26Utaingia kaburini ukiwa na umri wa uzee mtimilifu, kama masuke ya ngano yakusanywapo kwa wakati wake.

27“Tumelichunguza hili, nalo ni kweli. Hivyo lisikie na ulitendee kazi.”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.