Ayubu 7

Mwili wangu umevikwa mabuu na uchafu, ngozi yangu imetumbuka na kutunga usaha.

Job 7:5 (UKJV) My flesh is clothed with worms and clods of dust; my skin is broken, and become loathsome.

3ndivyo nilivyogawiwa miezi ya ubatili, nami nimeandikiwa huzuni usiku hata usiku.

4Wakati nilalapo ninawaza, ‘Itachukua muda gani kabla sijaamka?’ Usiku huwa mrefu, nami najigeuzageuza hadi mapambazuko.

5Mwili wangu umevikwa mabuu na uchafu, ngozi yangu imetumbuka na kutunga usaha.

6“Siku zangu zinapita upesi kuliko mtande wa kufuma, nazo zinafikia mwisho wake bila matumaini.

7Kumbuka, Ee Mungu, maisha yangu ni kama pumzi; macho yangu kamwe hayataona tena raha.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.