29Kwa kuwa nimeonekana mwenye hatia, kwa nini basi nitaabishwe bure?
30Hata kama ningejiosha kwa sabuni na kutakasa mikono yangu kwa magadi,
31wewe ungenitupa kwenye shimo la utelezi kiasi kwamba hata nguo zangu zingenichukia sana.
32“Yeye si mwanadamu kama mimi ili niweze kumjibu, ili kwamba tuweze kushindana naye mahakamani.
33Laiti angelikuwepo mtu wa kutupatanisha kati yetu, aweke mkono wake juu yetu sote wawili,