Yohana 9

Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.”

John 9:33 (UKJV) If this man were not of God, he could do nothing.

31Tunajua ya kuwa Mungu hawasikilizi wenye dhambi, lakini huwasikiliza wote wanaomcha na kumtii.

32Tangu zamani hatujasikia kwamba mtu amemponya yeyote aliyezaliwa kipofu.

33Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.”

34Wao wakamjibu, “Wewe ulizaliwa katika dhambi kabisa, nawe unajaribu kutufundisha?” Wakamfukuza atoke nje.

35Yesu aliposikia kuwa wamemfukuzia nje yule mtu aliyemfumbua macho, alimkuta akamuuliza, “Je, unamwamini Mwana wa Adamu?”

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.