47Ashdodi, miji yake na vijiji vyake na Gaza viunga vyake na vijiji vyake, hadi kufikia Kijito cha Misri na Pwani ya Bahari Kuu.
48Katika nchi ya vilima: Shamiri, Yatiri, Soko,
49Dana, Kiriath-Sana (yaani Debiri),
50Anabu, Eshtemoa, Animu,
51Gosheni, Holoni na Gilo; miji kumi na mmoja pamoja na vijiji vyake.