39Miji hiyo pamoja na vijiji vyake ndio iliyokuwa urithi wa kabila la Naftali, ukoo kwa ukoo.
40Kura ya saba ikaangukia kabila la Dani, ukoo kwa ukoo.
41Eneo la urithi wao lilijumuisha: Sora, Eshtaoli, Iri-Shemeshi,
42Shaalabini, Aiyaloni, Ithla,
43Eloni, Timna, Ekroni,