28kutoka kabila la Isakari walipewa, Kishioni, Daberathi,
29Yarmuthi na En-Ganimu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne
30kutoka kabila la Asheri walipewa, Mishali, Abdoni,
31Helkathi na Rehobu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.
32Kutoka kabila la Naftali walipewa, Kedeshi katika Galilaya (mji wa makimbilio kwa ajili ya yeyote anayeshtakiwa kwa mauaji), Hamoth-Dori na Kartani, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji mitano.