Yoshua 21

kutoka kabila la Reubeni walipewa Bezeri, Yahasa,

Joshua 21:36 (UKJV) And out of the tribe of Reuben, Bezer with her suburbs, and Jahazah with her suburbs,

34Koo za Wamerari (Walawi waliobaki) walipewa: kutoka kabila la Zabuloni, Yokneamu, Karta,

35Dimna na Nahalali, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne;

36kutoka kabila la Reubeni walipewa Bezeri, Yahasa,

37Kedemothi na Mefaathi, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne;

38kutoka kabila la Gadi walipewa, Ramothi katika Gileadi (mji wa makimbilio kwa ajili ya yeyote anayeshtakiwa kwa ajili ya mauaji), Mahanaimu,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.