35Dimna na Nahalali, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne;
36kutoka kabila la Reubeni walipewa Bezeri, Yahasa,
37Kedemothi na Mefaathi, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne;
38kutoka kabila la Gadi walipewa, Ramothi katika Gileadi (mji wa makimbilio kwa ajili ya yeyote anayeshtakiwa kwa ajili ya mauaji), Mahanaimu,
39Heshboni na Yazeri, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.