Maombolezo 5

Kumbuka, Ee Bwana, yaliyotupata, tazama, nawe uione aibu yetu.

Lamentations 5:1 (UKJV) Remember, O LORD, what has come upon us: consider, and behold our reproach.

1Kumbuka, Ee Bwana, yaliyotupata, tazama, nawe uione aibu yetu.

2Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni, na nyumba zetu kwa wageni.

3Tumekuwa yatima wasio na baba, mama zetu wamekuwa kama wajane.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.