Mithali 1

Tutapata aina zote za vitu vya thamani na kujaza nyumba zetu kwa nyara.

Proverbs 1:13 (UKJV) We shall find all precious substance, we shall fill our houses with spoil:

11Kama wakisema, “Twende tufuatane; tukamvizie mtu na kumwaga damu, njoo tukavizie nafsi isiyo na hatia;

12tuwameze wakiwa hai kama kaburi, wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni.

13Tutapata aina zote za vitu vya thamani na kujaza nyumba zetu kwa nyara.

14Njoo ushirikiane nasi, vitu vyote tutakavyopata tutagawana.”

15Mwanangu, usiandamane nao. Usiweke mguu wako katika njia zao,

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.