12tuwameze wakiwa hai kama kaburi, wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni.
13Tutapata aina zote za vitu vya thamani na kujaza nyumba zetu kwa nyara.
14Njoo ushirikiane nasi, vitu vyote tutakavyopata tutagawana.”
15Mwanangu, usiandamane nao. Usiweke mguu wako katika njia zao,
16kwa kuwa miguu yao hukimbilia kwenye dhambi, ni wepesi kumwaga damu.