Mithali 14

Kumcha Bwana ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti.

Proverbs 14:27 (UKJV) The fear of the LORD is a fountain of life, to depart from the snares of death.

25Shahidi wa kweli huokoa maisha, bali shahidi wa uongo ni mdanganyifu.

26Yeye amchaye Bwana ana ngome salama, na kwa watoto wake itakuwa kimbilio.

27Kumcha Bwana ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti.

28Wingi wa watu ni utukufu wa mfalme, bali pasipo watu mkuu huangamia.

29Mtu mwenye subira ana ufahamu mwingi, bali anayekasirika haraka huonyesha upumbavu.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.