Mithali 18

Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake.

Proverbs 18:7 (UKJV) A fool's mouth is his destruction, and his lips are the snare of his soul.

5Sio vizuri kumpendelea mtu mwovu, au kumnyima haki asiye na hatia.

6Midomo ya mpumbavu humletea ugomvi na kinywa chake hualika kipigo.

7Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake.

8Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu.

9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake ni ndugu na yule anayeharibu.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.