Mithali 18

Mtu aliye mlegevu katika kazi yake ni ndugu na yule anayeharibu.

Proverbs 18:9 (UKJV) He also that is slothful in his work is brother to him that is a great destroyer.

7Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake.

8Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu.

9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake ni ndugu na yule anayeharibu.

10Jina la Bwana ni ngome imara, wenye haki huikimbilia na kuwa salama.

11Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, wanaudhania kuwa ukuta usioweza kurukwa.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.