Mithali 20

Ni nani awezaye kusema, “Nimeuweka moyo wangu safi; mimi ni safi na sina dhambi?”

Proverbs 20:9 (UKJV) Who can say, I have made my heart clean, I am pure from my sin?

7Mtu mwenye haki huishi maisha yasiyo na lawama, wamebarikiwa watoto wake baada yake.

8Wakati mfalme aketipo katika kiti chake cha enzi kuhukumu, hupepeta ubaya wote kwa macho yake.

9Ni nani awezaye kusema, “Nimeuweka moyo wangu safi; mimi ni safi na sina dhambi?”

10Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, Bwana huchukia vyote viwili.

11Hata mtoto hujulikana kwa matendo yake, kama tabia yake ni safi na adili.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.