6kwa kufanya vita unahitaji uongozi na kwa ushindi washauri wengi.
7Hekima i juu mno kwa mpumbavu, katika kusanyiko langoni hana lolote la kusema.
8Yeye apangaye mabaya atajulikana kama mtu wa hila.
9Mipango ya upumbavu ni dhambi, watu huchukizwa na mwenye dhihaka.
10Ukikata tamaa wakati wa taabu, jinsi gani nguvu zako ni kidogo!