5Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa, naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu,
6kwa kufanya vita unahitaji uongozi na kwa ushindi washauri wengi.
7Hekima i juu mno kwa mpumbavu, katika kusanyiko langoni hana lolote la kusema.
8Yeye apangaye mabaya atajulikana kama mtu wa hila.
9Mipango ya upumbavu ni dhambi, watu huchukizwa na mwenye dhihaka.