Mithali 26

Kama mtu mwendawazimu atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha,

Proverbs 26:18 (UKJV) As a mad man who casts firebrands, arrows, and death,

16Mtu mvivu ni mwenye hekima machoni pake mwenyewe, kuliko watu saba wawezao kujibu kwa busara.

17Kama yeye amkamataye mbwa kwa masikio, ndivyo alivyo mtu apitaye njiani na kujiingiza kwenye ugomvi usiomhusu.

18Kama mtu mwendawazimu atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha,

19ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema, “Nilikuwa nikifanya mzaha tu!”

20Bila kuni moto huzimika; pasipo uchongezi ugomvi humalizika.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.