Mithali 26

Bila kuni moto huzimika; pasipo uchongezi ugomvi humalizika.

Proverbs 26:20 (UKJV) Where no wood is, there the fire goes out: so where there is no talebearer, the strife ceases.

18Kama mtu mwendawazimu atupaye vijinga vya moto au mishale ya kufisha,

19ndivyo alivyo mtu amdanganyaye jirani yake na kusema, “Nilikuwa nikifanya mzaha tu!”

20Bila kuni moto huzimika; pasipo uchongezi ugomvi humalizika.

21Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto, ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi.

22Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ Copyright © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Licensed CC BY-SA 4.0. “Biblica” is a trademark registered in the United States Patent and Trademark Office by Biblica, Inc.